mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. Kero ya taka Mijini, kila Mtaa wamiliki "incenerator"

    Incenerator ni Mtambo utumikao kuteketeza taka. Mitambo ya aina hii ni maarufu sana kutumika kwenye Mahospitali na Viwandani, ila pia ipo Mitambo mikubwa na midogo kwa ajili ya kutumika majumbani. Ukizunguka kwenye Miji hii mikubwa kama Jiji la Dare Es Salaam, Arusha n.k lazima utakubaliana na...
  2. Mtaa wenu una umaarufu gani?

    Huu mtaa wetu mi nadhani Malaika hapa wanatembelea masaa 24,Maana nyumba za Ibada km zote zimepangana zinashindana vipaza sauti tu ... Vp huko kitaani kwako?
  3. Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  4. Mtaa wa Mkwepu ni kwa heshima ya Rashid Sisso

    MTAA WA MKWEPU NI MTAA KWA HESHIMA YA RASHID ''SISSO'' MOHAMED MKWEPU Mtoto wa Rashid Sisso kaniandikia leo akaniuliza swali, ''Unajua asili ya Mkwepu Street kule Posta?'' Nikamjibu sijui. Akaniuliza swali lingine. ''Jina la Rashid Mohamed Sisso je? Hilo ''Sisso'' ni la utani. Jina halisi ni...
  5. E

    Bonyokwa Dar - Mwenyekiti wetu wa mtaa hataki kuanzisha ulinzi shirikishi wananchi hatuna lu kumfanya

    Tumepiga kelele weee kwa kutizama yanayotukia mitaa mingine ya dar, tukimsihi mwenyekiti kuanzisha ulinzi shirikishi mtaani kwa wasio na mda wa kulinda kuchangia na wasiopenda kuchangia kupangiwa zamu za kulinda wenyewe wala mwenyekiti hana habari. Tunaomba viongozi watusaidie kinga ni bora...
  6. Haiti: Ndege yaanguka mtaa wenye watu wengi, yaua watu sita

    Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye watu wengi katika Jiji la Nchini Port-au-Prince Nchini Haiti, jana Aprili 20, 2022 na kuua watu sita akiwemo rubani wa ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Port-au-Prince saa 9:44 Alasiri kuelekea katika Jiji lingine Nchini...
  7. Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Wadau, Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi. Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
  8. M

    Picha: Askari wa usalama aliyevaa kiraia akielekeza magari kwa makini mtaa wa posta mpya Dar es Salaam

    Yupo makini kwa kazi yake
  9. Prof. Kitila Mkumbo: Serikali za Mtaa hazishauri Serikali Kuu badala yake zinapokea maelekezo kutoka Serikali Kuu

    Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya serikali badala ya kuwa sehemu ya mafanikio ya serikali. Mbunge ameyasema hayo bungeni ambapo...
  10. Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake

    MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake. Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa Tanganyika ambae amepewa mtaa. Wanafunzi wake wawili Salum Mpunga na Yusuf Chembera ndiyo waasisi wa TANU...
  11. K

    Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  12. Askari wa jiji wapokea kipigo toka kwa machinga mtaa wa Samora

    Baada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao. Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao. Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia...
  13. Shilingi Bilioni 891.5 za Rais Samia zilivyotumika mtaa kwa mtaa

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezungumzia mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, amezungumza akiwa katika Ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), leo Machi 4, 2022. Haya hapa ni baadhi ya mambo muhimu ambayo ameyazungumza ambayo yamekuwa na faida...
  14. Wale wapenzi wa piko pitia mtaa huu

  15. Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  16. Dar es Salaam City in Photos

    THE CITY OF DAR ES SALAAM THROUGH PICTURES. DISCOVER DAR. TPA TOWER, PSPF Twin Towers and MNF towers construction by skiligo, on Flickr Dar es salaam Rapid Transit Bus along Kivukoni front by skiligo, on Flickr DSC_5892 by skiligo, on Flickr FROM RK TOWER by skiligo, on Flickr From RK...
  17. Miaka 20 kumbukumbu ya kifo cha Mzee Moses Nnauye na kilio cha kupewa mtaa

    MIAKA 20 KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MOSES NNAUYE NA KILIO CHA KUPEWA MTAA Tumeshuhudia mambo mengi sana katika Mwaka uliomalizika wa 2021 yapo mambo mengi lakini yaliyotikisa ni mambo ya Kisiasa, Tulishuhudia katika Tasnia ya siasa za (Chama Tawala, chama cha Mapinduzi) na za baadhi ya...
  18. Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

    tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
  19. Wamachinga wa Msimbazi Kariakoo wanatandika bidhaa chini kwenye njia ya waenda kwa miguu

    Kwamba fujo zooote zile, halafu hakuna kilichobadilika, utaahira wa wapi huu? Mtu unashindwaje kusimamia ulichokianzisha?
  20. Andaa bajeti ya duka la milioni moja kwenye mtaa wa walalahoi unaotazamana na kilabu cha pombe kilichoko mjini

    Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema utanunua vitu gani? Ambavyo unadhani piga ua hapo lazima vinunuliwe Ila pia kuna kijiwe kikubwa cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…