Nina mpango wa kufungua store ya mchele Dsm...sipo kwa muda wa miaka 3 ...
Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa sasa nilitaka niingie na Tone 2 nikiwa na cash Mil.2
Najua mtaji wangu unaweza kuonekana mdogo...