mtaji wa biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KisiwaChaJagwani

    Mwanza biashara unaweza kufanya kwa mtaji wa Tsh 500,000/=

    Habari Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufanya biashara katika jiji la mwanza mtaji nilionao ni sh laki tano 500,000/= Nilikuwa naomba ushauri wakimawazo ili niweze kujiajiri kwa hiyo pesa
  2. buyoya419

    Biashara nzuri hapa ni ipi? Dereva wa bajaji au duka la vifaa vya umeme?

    Wakuu Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha yangu Ninunue bajaji mpya niwe nabeba abiria kwenye vijiwe hivi vya mitaani au nifungue duka la vifaa...
  3. B

    Msaada wa wazo la biashara

    Wakuu toka nizaliwe sijawahi fanya biashara yoyote na kwa sasa nina kama shilingi milion 2 Naomben wazo la biashara ili niweze kuiendeleza
  4. wa kibondemaji

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi. Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
  5. Jackwillpower

    Nahitaji Sponsor wakunishika mkono kwenye biashara

    Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni Je, naweza kupata wapi au pakuanzia nipate tajiri atakayenishika mkono ,maana Sina uwezo kifedha ,lakini pia sijui nianzie wapi kupata...
  6. Down To Earth

    Mwezi ujao naanza project maalum ya kusaka mtaji wa Tsh laki 5

    Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni. Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online Mbinu nitakazotumia 1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu. 2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni...
  7. Yohimbe bark

    Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

    Habari wakuu, Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia milioni 8 na ana miezi 9 kwenye game, aliniambia nitafute mtaji then anipe connection ila toka...
  8. and 300

    Nyeto imenipa mtaji wa biashara

    Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki). Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka mawili ya dawa Msewe, Hardware Kibaha na Uber IST 1. Mwisho japo si kwa umuhimu, nimenunua Ardhi...
  9. M

    Mchanganuo wa biashara ya saluni (vifaa/matumizi/faida)

    Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume. Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii Pamoja Na Gharama Halisi (Makadirio) Za Kuanzisha Saluni ya Kiume. KUMBUKA BEI/GHARAMA ZA VITU HAPA...
  10. Y

    Naomba ushauri wa kibiashara, nina mtaji wa Tsh 50,000

    Naombeni USHAURI WA kibiashara wakuu; nina mtaji WA Tsh 50,000/=(Elf hamsin). Je, Kwa mji WA Kilosa, nianzishe biashara Gani? Ahsanten sana!
  11. More Chances

    Naomba ushauri, nina mtaji wa milion 4 nifanye biashara gani?

    Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume age 29 baada ya michongo kwenda vibaya nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4 nikatafuta frame ya mtaani nikapata ila issue ni kwamba kila nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini...
  12. P

    Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  13. Bigmaaan

    Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
  14. Kizibo

    Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  15. Kizibo

    Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  16. GENTAMYCINE

    Tamko la NEMC litasaidia "Jobless" kupata Mtaji wa Biashara na Kuuaga Umasikini, hivyo tunawashukuru mno

    Kama nilivyomsikia Afisa wao Mmoja ( NEMC ) ni sahihi GENTAMYCINE nichukue tu nafasi hii mapema kabisa Kuuaga Umasikini niliokuwa nao sasa mwaka wa Kumi ( 10 ) kwani naenda kuwa Tajiri wa Kutukuka. "Tunajipanga kuja na Tangazo la kumtaka Raia yoyote akiona tu Dereva wa Lori, Gari Dogo au Basi...
  17. B

    Benki ya CRDB yawahakikishia wanawake wajasiriamali mtaji wa biashara

    Siku mbili baada ya Benki ya CRDB kupata leseni ya kutoa huduma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amewahikikishia wanawake wajasiriamali nchini kupata mtaji wa kuanzisha au kukuza miradi yao. Mwambapa ametoa uhakika...
  18. King snr

    Kukuza mtaji wa biashara ya kompyuta

    Habari wakuu, Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji. Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories. Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...
  19. John 001

    Kwa mtaji wa laki 5 nifanye biashara gani?

    Ndugu wadau mimi niko Daresalaam nina mtaji wa laki 5 tu..na sio mzoefu wa biashara kabisa ndugu naombeni mawazo, staki kukurupukia biashara naomba mawazo kwa uzoefu wenu ndugu wadau nifanye biashara gani?
Back
Top Bottom