Huu ulimwengu, game ni tight sana hasa upande wa kutafuta pesa, kuna saving zangu kama million 3 nimeamua kurisk shambani sina matarajio makubwa lakini najua itakua ni sehemu ya kujifunza.
Hii mada inahusu wazoefu tu, nipo kasulu nafikiria kulima maharage na mahindi kwa msimu unaokuja...