Je, Majambazi wakivamia eneo ulipo wewe, na kisha wakati uvamizi ukiendelea akatokea Jambazi mmoja akujuaye binafsi, ambae kumbe ni jirani yako kule mtaani kwako.
Ila kwa bahati mbaya mmekutana akiwa kazini ila asiyetaka wewe jirani yake udhurike au kuuawa!
Tena Bila hata kujali kwamba kupona...