Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.
RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi VICTORIA MWANZIVA amezindua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa halmashauri ya Mtama ikiwa ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri na kutoa Hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni Mia tatu sitini, laki...
Mbowe kaanza visingizio mapema.
Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi?
Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo?
Mbowe atangaze Sera au aseme walikula wote hivyo vyakula, asilete ujanja ujanja kisa uchaguzi
Kabla ya Wazungu kuleta mahindi ambayo si ya asili barani Afrika, ugali wetu ulitengenezwa kwa mtama, zao ambalo ni asilia kwa hali ya joto ya Afrika.
Tuliiacha kwa ajili ya ugali wa mahindi ambao wakoloni waliitumia kulisha mifugo.
😩😩😩
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo.
"Watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa Wagombea wote wakubali matokeo sababu hii...
Wakuu,
Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha.
Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Habari Wana Siasa. Hongera sote Kwa majukumu na michango inayosaidia kuendekeza mbele maslahi mapana ya Mama TANZANIA.
Wiki hii katika habari imetangazwa wanachama wa CCM karibu 300 jimboni Mtama mkoa wa Lindi walihamia ACT.
Kwa wanaofahamu Jimbo la Mtama Mbunge aliyeko sio wa ACT au Chadema...
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.
Sikushangaa pale...
"Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar wakati akitoa taarifa ya ziara ya kichama ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA.
Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni...
Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
Habari za muda huu nawapea pole na changamoto za hapa na pale wana JF wenzangu.
Ndugu zangu mimi nimekuja na UZI huu kwa lengo la kupata ushauri. Nilikimbia nyumbani nikaenda Lindi, wilaya ya Kilwa lakn nikafika kwenye miji za wasukuma nikawaomba eneo la kulima UFUTA mwakani(2024) wakanipea...
Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet!
Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa...
Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet!
Itashangaza mno kama wewe...
Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala yake wanahitaji mtu kutoka katika familia ya Hayati Bernard Membe kama hatua ya kumuenzi...
Wana wema!
Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini.
Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!..
Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
Mtama ni nafaka iliyo na kiwango kingi cha protini, vitamini B6 na B1 pamoja na madini chuma, copper, magnesium, selenium na zinc.
Pia, huwa na kiasi cha kutosha cha kampaundi za Flavonoids, phenolic acids na tannins ambazo hutumiwa na mwili kama viondoa sumu.
Husaidia kupambana na aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.