mtamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nauza Ubuyu Mtamu sana kwa Bei ya Jumla na Rejareja

    Jipatie ubuyu mtamu sana wa kiarabu ambao unapata kwa ladha tofauti tofauti Ladha ya Vanilla Ladha ya Chocolate Ladha ya Pilipili Ni mtamu na hauchubui Mdomoni Call:0752228138 Jumla na Rejareja
  2. LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

    Wakuu, Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo? Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji...
  3. Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

    Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu Mahitaji Ngano kilo moja Sukari robo (utaigawa mara mbili) Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja Maziwa ya maji nusu lita Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml...
  4. Hivi ndiyo mnataka kusema kuwa Watanzania huu Wimbo mpya na Mtamu wa Twanga Pepeta uitwa Mmbea hamjausikia na Kuusifia?

    Bado sijaona kama Twanga Pepeta kwa Tanzania hii na bado sijaona Muimbaji mzuri kama Charles Baba Kingunge. Kitu kikipendwa na GENTAMYCINE jua hadi Malaika wa Mbinguni nao Wameshakipenda. Shikamooni Twanga Pepeta.
  5. Siku ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa una mke mtamu

    Siku mwanaume ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa umeoa mke mtamu. Uzi tayari.
  6. K

    Kwanini wali unaotokana na mpunga unaolimwa katika maeneo ya nchi yetu hivi sasa siyo hauna ladha na siyo mtamu?

    Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu? Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini ulipopikwa kwa kweli hauna ladha na siyo mtamu.
  7. Mwanzo huwa mtamu sana. Sijui ni nini huwa kinavuruga mambo?????!!!!!

    πŸ€”πŸ€”πŸ€”
  8. Pumzi inakata na hakuna mapumziko: Magaidi wengi zaidi wa Hamas wanaendelea kujisalimisha kunusuru uhai wao

    Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo. Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar. Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati...
  9. Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

    Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
  10. Una maisha matamu ukiwa na mpenzi mtamu au unateseka?

    Japo ni kama nadharia tu ila underground ni kama ndio uhalisia wa maisha, once you get good and satisfying sex, life becomes nutritious, you see plan, growth, progress and success unto you. Eyes, heart, feelings, trust, beliefs plus the power of the universe. Maisha matamu + mapenzi matamu...
  11. Mwanamke wa kinyamwezi akikupenda ni mtamu sana kwenye mahaba nihabue

    Habari zenu, Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana. Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma. Ni hayo tu wanyamwezi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ‘πŸ‘πŸ‘
  12. O

    Rayvanny Anazidi Kutisha Na Nyimbo Yake Mpya inayoitwa Mtamu

    Raymond Shaban Mwakyusa, anayetambulika kwa jina la kisanii Rayvanny , ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na msanii wa kurekodi mahiri kutoka Tanzania. Akiwa msanii, amepata mafanikio na kutambulika chini ya lebo maarufu ya WCB Wasafi. Hivi majuzi, Rayvanny alitoa video ya muziki ya kuvutia ya...
  13. Jinsi nilivyofanya kazi kwa mrundi kwa mshahara wa laki 3 kwa mwaka Kigoma

    Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi, Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi, Naona watu wamesimama pembezoni...
  14. M

    Awauzia wakazi wa Dar es salaam mishikaki ya nyama ya Mbwa kwa zaidi ya miaka 10. Adai wanaipenda, ni tamu

    Mzee mmoja ambaye jina lake linahifadhiswa, amekutwa akitengeneza mishkaki kwa kutumia nyama ya Mbwa na kusema biashara hiyo aliianza tangu mwaka 2010 akiwa katika stendi ya Ubungo na sasa alikuwa stendi ya mbezi (Kituo cha Mabasi Mbezi, Magufuli). Chanzo : Channel Ten
  15. R

    Pamoja na tozo lakini Samia anastahili sifa kutupa nafasi tulale usingizi mtamu

    Hofu Imetoweka Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni. Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu...
  16. Ukweli uwe mtamu kusema japo ni mchungu sana, kwa sasa CCM inabebwa na dola kama Chama Tawala ila kwa ndani imeshajifia

    Wakuu habari? Ni matumaini yangu kuwa mko poa sana katika harakati zetu za watu weusi kutafuta rizki ya kila siku.Wanasema hatuwezi kuacha kujihusisha na Siasa sababu Siasa ndiyo ina mstakabali wa maisha yetu,kwa siku za hivi karibuni yaani kuanzia 17.3.2021 hadi sasa nimekuwa nikifatilia vyama...
  17. Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Za mida hii wakuu, Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho. Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali...
  18. Nimekula Mwanamke asiyehusika. Ni mtamu sana

    Niko Iringa, jana usiku nikatoka kwenda kusafisha macho kidogo, nikafika sehemu ambayo wanapatikana warembo, nikamwita dada mmoja mrefu, maji ya kunde, amevaa miwani, ana hips zamaana na lips fulani hivi amazing... Alivyo sogea nikauliza bei akaniambia yeye hafanyi hiyo biashara ila kuna mtu...
  19. Ally Hapi ajitetea kama mbogo aliyejeruhiwa

    Baada ya mh Rais Samia kupiga indiketa ya kuutumbua uongozi wa mkoa wa Mara, leo Ally Hapi katumia jukwaa vizuri kujitetea. Pamoja na ukweli kuwa Ally Hapi angeweza kuyatatua yote aliyomwomba Rais , lakini wachunguzi wa mambo wanafikiri Ally Hapi bado hajawiva kiuongozi. Wakurugenzi ndani ya...
  20. Utani ni mzuri na mtamu lakini angalia unayemtania

    UTANI NI MZURI NA MTAMU LAKINI ANGALIA UNAYEMTANIA. Anaandika Robert Heriel. Sisi wengine tumezoea matani, tumezoea kutaniwa, kudhihakiwa, kukejeliwa, hata kuzomewa piah. Mtu aliyebobea kwenye matani hayo kwake ni mambo madogo kabisa. Sisi tuliozoea utani tunamiiko yetu, tunajua mipaka yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…