mtamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

    Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua wanasherekea birthday ya baba yao na sikukuu za xmas na mwaka mpya hivyo hata sisi binamu na ndugu wengine...
  2. B

    Binti/Wife Material upo? Boy-Friend yupo hapa

    Kwa Mabinti/Wife Material tu! Nasisitiza uzi huu ni kwa mabinti/wife material tu. Mwanaume usijishughulishe kwa sababu haukuhusu. Nitamshangaa sana mwanaume atakaye-comment hapa. Pili, hata kwa mabinti nitajibu message zilizotumwa INBOX tu! Mimi sijibu message yoyote ya public. Well, mimi ni...
  3. Mnada mali za Makamu wa Rais Equatorial Guinea, Teodoro Nguema: Urais Afrika ni mtamu kwa marais kama hawa

    Wizara ya Sheria, Marekani (DOJ), imetangaza kuwa fedha ambazo zimepatikana kwa kupiga mnada mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema Obiang Mangue, zitatumika kununua chanjo na kuisaidia nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Obiang ni mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea Teodoro...
  4. N

    Haka kanyimbo si kakusikiliza ukiwa umepitia break up. Wimbo mtamu huu nyie kha

    Intro: Nviiri the Storyteller (Ohh, mmh) Ohh What a waste Oh, Lord The Storyteller, ayy Verse 1: Nviiri the Storyteller What a waste Baby tumejiseti, we on the highway Tukafunga breki, tukaanza bishana Asking, “Who is Diana? Vipi mnajuana?” I swear tumeji-betray, baby tumejiseti ‘Cause love...
  5. Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu. Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake. Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…