mtandao tanesco

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BUSH BIN LADEN

    Kuna shida ya mtandao wa LUKU?

    TANESCO mbona hamtoi taarifa kwa wateja tukajua. Najaribu kuweka umeme toka saa 12 jioni hadi muda huu unagoma. Toeni basi taarifa kama kuna shida tujue na kama ipo mseme mnashughulikia hadi lini itakuwa imeisha.
Back
Top Bottom