Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024.
Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26.
Pakua Samia App kupitia...
awamu
awamu ya sita
barabarabarabara za lami
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
kutoka
lami
mikoa
mtandaomtandaowabarabara
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
urefu
wilaya
Tanzania imepaa mpaka nafasi ya 6 toka nafasi ya 16 mwaka 2022 kati ya nchi 54 za Afrika kuwa na mtandao bora wa barabara kwa mujibu wa Takwimu za mtandao wa Statista.
Hii ni kwa sababu ya kazi nzuri ya utekelezaji wa miradi ya barabara na madaraja yenye lengo la kuboresha huduma za usafiri na...
Wakala wa Barabara Tanzania , TanRoads imechapisha ramani Mpya Inayoonesha Mtandao wa Barabara zao zilozowekewe lami na Zenye vumbi.
Ufunguo
1. Rangi Nyekundu inawakilisha Barabara Za Vumbi
2. Rangi Nyeusi inawakilisha Barabara za Lami
My Take: Kiuchumi ,kama Nchi tulifi kabisa kuamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.