mtandao wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  2. M

    Tanzania yapaa nafasi ya 6 kati ya nchi 54 za Afrika kuwa na mtandao bora wa barabara

    Tanzania imepaa mpaka nafasi ya 6 toka nafasi ya 16 mwaka 2022 kati ya nchi 54 za Afrika kuwa na mtandao bora wa barabara kwa mujibu wa Takwimu za mtandao wa Statista. Hii ni kwa sababu ya kazi nzuri ya utekelezaji wa miradi ya barabara na madaraja yenye lengo la kuboresha huduma za usafiri na...
  3. TANROADS Wametoa Ramani Mpya Inayoonesha Mtandao wa Barabara za Lami Tanzania

    Wakala wa Barabara Tanzania , TanRoads imechapisha ramani Mpya Inayoonesha Mtandao wa Barabara zao zilozowekewe lami na Zenye vumbi. Ufunguo 1. Rangi Nyekundu inawakilisha Barabara Za Vumbi 2. Rangi Nyeusi inawakilisha Barabara za Lami My Take: Kiuchumi ,kama Nchi tulifi kabisa kuamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…