Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?
Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano SE.X sms ndio inaenda nani kuruhusu mambo haya?
Huduma hii imenisumbua tangu asubuhi mtandao upo chini sana kwenye laini yangu ya Tigo ikabidi niweke Airtel napo mtandao wa Internet upo chini sana.
Je, wakuu ni simu yangu tu ama na wengine mna experience suala kama langu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.