Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali
Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
Habari wana JF,
Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje.
Ahsante
Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship?
Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
Ndugu zangu Watanzania,
Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.
Leo...
Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania
Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya maamuzi sahihi ya kutofungia twitter, amesisitiza Daktari Bingwa Kigwangalla ukurasani X
Mlale Unono 😄😄...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.