mtandao wa x

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Je mtandao wa X (twitter) umezimwa Tanzania?

    Mtandao namba 1 kwa kuibua mijadala mbalimbali ulimwenguni maarufu kama X zamani ukijulikana kama Twitter ni kama umezimwa nchini Tanzania. Ukijaribu kuingia kwa njia ya kawaida unagoma mpaka utafute VPN. Je ni tatizo la kimtandao au ndio umezimwa kimyakimya?
  2. Technophilic Pool

    AI ya Elon max ya mtandao wa X ! kiboko ya uongo

    Nimeipa kazi ya kutengeneza picha ya sura yangu!! Nilikua naijaribu tu maana hatujawai onana😅😅
  3. Zero IQ

    Nimerejea JF baada ya kuupitia mtandao wa X (Twitter)

    Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara, Kiufupi ndugu yenu ZERO IQ nilijipa breki kidogo hapa Jamii forum na kwenda huko kwenye huo mtandao wa watu wa X zamani...
  4. J

    Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini Ngoja...
  5. Mr Why

    Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  6. Analogia Malenga

    Ni mtandao gani unaozuia maudhui ya ngono na mapenzi ya jinsia moja?

    Kuna kundi la watu ambao wanaiomba serikali ifungie twitter nchini kwa kudai kuwa twitter imeruhusu maudhui ya mapenzi ya jinsia moja. Hata hivyo, najiuliza ni mtandao gani ambao hauruhusu mapenzi ya jinsia moja kwa hoja hiyo kuwa na mashiko. Je ni kweli meta haruhusu maudhui ya mapenzi ya...
  7. S

    LGE2024 Mbona Rais Samia hajakipongeza chama chake kwa ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024? Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari...
  8. Paulolaurent

    Nikilipia kupata blue tick mtandao wa X (Twitter) naweza kuipata baada ya muda gani?

    Habari wana JF, Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje. Ahsante
  9. robbyr

    Watumiaji wa mtandao wa X wamefilisika kifikra au?

    Picha: Pinterest Mimi nimeanza kutumia X kwa sasa toka 2017. Niliheshimu mtando huu sana kwa habari nzuri na kwa ufupi kutokwa kwa watu mbalimbali. Leo hii unaingia X unakuta ndio watu wanaongoza kwa kusambaza video za ngono pamoja na kudhalilisha watu na mwisho naweza sema Facebook ni mtandao...
  10. RWANDES

    Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
  11. T

    Elon Musk: Ukiweka bandiko la umma (Public Post) kwenye mtandao wa X (Twitter), ni lazima wale wote uliowablock waweze kuona bandiko lako

    Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa. Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama public basi hata wale ulio wablock wanatakiwa kuona maana ni public unless uchague kuweka private...
  12. Mtoa Taarifa

    Mahakama ya Brazil yaufungulia Mtandao wa X (Twitter) baada ya kulipa faini

    Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter. In his...
  13. mapema

    Napata changamoto hii nikiwa natumia X (Twitter) Msaada tafadhali!

    Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like. Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya...
  14. S

    Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  15. H

    Mtandao wa X Kulikoni?

    Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari. Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's? Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini...
  16. Suley2019

    Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's?

    Mnamo tarehe 30 Agosti 2024, tuliona ongezeko la hali isiyo ya kawaida kwenye mitandao kadhaa nchini Tanzania, ikionyesha kuwa upatikanaji wa Twitter/X ulizuiliwa kwa watumiaji wengi nchini. Ishara zenye nguvu zaidi za kuzuiliwa kwa Twitter/X zilionekana kwenye mitandao ifuatayo: Vodacom...
  17. Cannabis

    Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania

    Taarifa kutoka Netblocks zinasema mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania --- Confirmed: Live metrics show that X (formerly Twitter) has been restricted on Tanzania's main internet providers; the incident comes as the police force issues an alert over alleged opposition party plans...
  18. W

    Mtandao wa X kufunga Ofisi zake Brazil kwa ajili ya usalama

    DIGITALI: MTANDAO WA X KUFUNGA OFISI ZAKE BRAZIL Mtandao wa X umedai kuwa Jaji Alexandre de Moraes wa Mahakama Kuu ya Brazil alimtishia mwakilishi wa X nchini humo akamatwe endapo hatatekeleza amri ya kudhibiti mtandao huo. Moraes ameagiza akaunti za X anazoshutumu kwa kusambaza taarifa za...
  19. Patriot missile

    Mwamposa: Naamini Serikali haitaruhusu mitandao inayohamasisha Ushoga kuendelea kuwepo nchini

    Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini. Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Hivi ndivyo Mtandao wa X unavyowanusuru wahanga wa unyama wa watala wa CCM

    Wanaharakati na marafiki wa kijana Japhet Matarra, anayetumikia kifungo cha miaka mitano gerezani kwa makosa ya mtandao kupitia mtandao wa X, wamechangisha Sh8.5 milioni kwa ajili kumtoa gerezani kijana huyo. Matarra alihukumiwa Juni 2023 na Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Moshi, mkoani...
Back
Top Bottom