Watumiaji wa X (Twitter) mliopo JF, naomba kujua X kwenye vifaa vyenu mnaipata bila matatizo? Kwenye simu yangu tokea mchana wa leo X haifunguki: kwenye app na web.
Nimejaribu kutumia Proxy Server (United States) kwenye web imefunguka, nikajaribu tena kwa mtandao wa ISP (Halotel) haifunguki.
Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
digital rights
freedom of expression
haki za kidigitali
maadili kwa watoto
mitandao ya kijamii
mtandaomtandaowaxkufungiwa
tcra
uhuru wa kupata taarifa
uhuru wa kutoa maoni
waziri nape
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.