Habari wanajukwaa,
Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana.
Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha upo nchi tano.
Tanzania
Togo
Comoro
Senegal
Madagascar
Ila cha kushangaza huu mtandao unapotoka nje...
Habari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda...
Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya
Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA??
Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.