Wanajukwaa
Kuna changamoto moja ya kiafya ilinipiga - yaani ilikuwa mwili nauhisi kabisa upo na shida ila nilivyoenda hospitali kama mara tatu kwa vipimo nikaambiwa sina shida yoyote.
Ile hali ikawa inapelekea mimi kuwa mtu wa kulala lala tu, kazi zangu nazifanya kivivu, na kibaya zaidi...
Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Je, cheo cha uwaziri Mkuu ni cha Muungano au ni kwa ajili ya watu wa Tanganyika?
Kama...
Jina langu ni Clearmind. Natambulika hivyo hapa JF, japo kwa muda sasa nahangaika kutimiza ndoto zangu mbali na nyumbani. Natamani kukiri kwamba najivunia kuwa Mtanganyika.
Katika siku hizi za kisasa, ambapo mipaka ya nchi na majimbo inatambulika na kutambulishwa kupitia bendera, wimbo wa...
Loliondo FM
Loliondo FM
Habari za Jumla
Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi
Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi
7 May 2024, 11:17 am
Mwenyekiti wa bodi yawakurugenzi NCAA katikati jenerali Venance Mabeyo wakati wa ukagunzi wa ujenzi wa jingo la NCAA Karatu, picha...
Ikitokea ukahabatika ukibahatika ukawa Rais wa visiwani Zanzibar
Je, utasimamia nchi kizalendo au utafanya kupiga deal uwe bilionea tu
Au ukiacha kuwa Rais Zanzibar
Ukibahatika kwenda somalia ukaingia kwenye mfumo wa siasa ukibahatika kuwa waziri
Je, utakuwa mzalendo?
Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?
Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?
Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu...
Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha!
Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki kwa kusafirisha nje mboga na matunda. Lakini wakati huo huo, Tanzania ina eneo kubwa linalofaa kwa...
Jana, katika pita pita yangu mitandaoni, nimekutana na clip yenye tafsiri ya neno Tanganyika.
Tanganyika ni neno la Kichapu likimaanisha nchi yenye rutuba.
Kwa uelewa wangu, rutuba inaashiria ustawi.
Unajua maneno yanaumba? Ni kipindi gani nchi ilikuwa na ustawi, ilipokuwa ikiitwa Tanganyika...
Tanganyika ilianzishwa chini ya wakoloni wa Kiingereza mnamo mwaka 1921 mara baada ya vita ya Kwanza ya dunia kuisha. Nchi hii ambayo toka ilipochukuliwa na Mjerumani mwaka 1885 iliitwa German East Africa Colony.
Hii ikimaanisha Kabla ya hapo hatukuwa na Tanganyika wala hakukuwepo nchi...
Katika mila na desturi za Kiafrika kuna maswala ambayo yamehodhi jadi za matukio ambayo yaliakisi Makabila hayo kujinasibisha na mahala kuwa makazi yao ya asili kutokana na fursa zilokuwepo.
Na historia ya makabila haya imetokana na koo zile zile za Wakulima, Wafugaji na Wavuvi kutengana aidha...
Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele.
Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW
ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY
TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY
ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY
TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY
===
Kamishna wa...
Ndugu zangu wahenga walishasema mapema ya kwamba MCHUMA JANGA HULIA NA NDUGUZE.
Ki kawaida matatizo humuumiza zaidi yamhusuyo kuliko jirani na mfano hai ni suala la kufiwa aumiaye na msiba ni mfiwa na nduguze siyo majirani wasio na chembe ya ndugu
Kwa muktadha huo hata haya ya mamikataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.