Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku.
Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae (mbeleni) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu...