Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro amelazimika kumpigia simu Meneja wa Wakala wa barabara Vijijini TARURA mbele ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara kupata ufafanuzi juu ya ujenzi wa barabara iliyopo katika kijiji cha Shatimba kata ya Nyamalogo halmashauri ya Shinyanga.
Hayo...
MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALOKATAZA KINA MAMA WASIENDE KUJIFUNGULIA KLINIKI
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga ili kupisha uchunguzi maalum.
Akiambatana na Kamati ya Usalama...
MTATIRO ABOMOA KARAVATI LILILOCHAKACHULIWA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amesimamia ubomoaji wa karavati moja kati ya sita, lililokuwa linaendelea kujengwa, katika mradi wa shilingi 111,822,000 (Mil. 111) wa barabara ya kilomita 5 wa Lyabusalu Mwajiji - Halmashauri ya...