Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu.
Aristotle anaona kuwa...
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.
Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi...
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.
Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?
Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za urais na ndio kikaunda serikali..
ila Bungeni CHADEMA ndio...
Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu
Africa tofauti na ulaya
Ulaya watu hata wanne wakifanya...
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala.
So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
KWENYE SIASA HAKUNA KUWA KATIKATI"NEUTRAL" MTAWALA LAZIMA AAMUE KUSUKA AU KUNYOA. VINGINEVYO ANGUKO NI HAKIKA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Siasa inakanuni zake, na moja ya kanuni hizo ni pamoja na hii ya kuchagua upande. Ni aidha uwe moto au uwe baridi Full stop. Maswala ya kusema au...
Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu!
Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum (73) ndie Mtawala wa Dubai na pia Ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Ndie aliyefanya mageuzi makubwa kwenye Emirati ya Dubai kutoka jangwa mpaka Sasa mji maarufu na kuvutia watalii toka pande zote za...
Nawasalimu katika jina la Kibepari
Peter the Great, ambaye jina lake kamili ni Peter I wa Urusi, alizaliwa tarehe 9 Juni 1672 (sawa na tarehe 30 Mei 1672 katika kalenda ya Juliasi) huko Moscow, Urusi na aliongoza urusi toka mwaka 1682-1721 kama Tsar wa urusi na kisha toka 1721 hadi 1725 kama...
TOFAUTI KATI YA KIONGOZI BORA NA MTAWALA MBAYA: SIFA ZA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA NA UTAWALA WA KIIMLA
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu waliopewa jukumu la kuongoza na kutawala jamii zao. Hata hivyo, si kila mtu aliyekuwa na jukumu hilo alikuwa na...
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume).
Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
Hii imekaaje, utasikia nchi za Afrika eti zilipigania na kupata Uhuru, sasa kama ni kweli ina maana aliyekutawala alikuwa adui, sasa iweje kifo chake kiwe maombolezo kwenu?
Afrika ni takataka na tunadanganywa sana, hakuna nchi yoyote ile iliyopigania Uhuru, wote walipewa huo tunaouita uhuru kwa...
Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani.
Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country.
Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June...
Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee? Naomba utunze swali hilo utanijibu wakati ukifika.
Hayati Rais Julius Kambarage Nyerere akihutubia...
Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe
DANIEL 1:
31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha.
32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu...
History ya nchi zetu inashangaza sana.
Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri.
Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam.
Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia...
Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake?
Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.