Hayati Magufuli aliamini kuwa yeye ana akili kuliko watanzania wote na ndio maana hata alipodanganywa kwa sifa za uongo Kama sio kumkebehi kuwa anajua idadi ya samaki wote kwenye mito, ziwani, na baharini alibaki kukenua kwa kicheko.
Mtawala anapenda sifa usipo msifu una geuka kuwa adui wake...