mtazamo

  1. Mtazamo wangu;bado Masaki ni bora kuliko Mbweni

    Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa. Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo. Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best. Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni...
  2. Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k Mtazamo huu ni potofu. Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya kidini, bali misingi yake ya utu, malezi na jamii inayomzunguka. Kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi...
  3. C

    Kwanini tunakufa: Mtazamo wa kisayansi, kidini na kifilosofia

    Kifo ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na kila mmoja wetu anajua kuwa siku moja, maisha yetu yatakwisha. Ingawa ni jambo lisiloepukika, kifo bado linabaki kuwa suala gumu na linalozungumziwa kwa aibu katika jamii nyingi. Hivyo basi, maswali kama "kwa nini tunakufa?" au "ni nini...
  4. Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

  5. Mtazamo wangu kuhusu CHADEMA, CCM na Watanzania

    1:Chaguzi Dodoma vs Mlimani city. Hapa naipongeza chadema kama chama,wajumbe kama watoa maamuzi na wagombea Kwa kuwa kuonyesha utayari wa kupokea matokeo yoyote ambayo wangeyapata. PONGEZI zaidi ziende Kwa wajumbe wa chadema Kwa kufanya uchaguzi uwe uchaguzi na sio kikao. HUKU DODOMA Bado tupo...
  6. Mtazamo wangu kuhusu Watanzania na Demokrasia

    Miongoni mwa sera bora kabisa kuwahi kusimamiwa na mgombea wa uongozi hapa nchini ilikuwa ELIMU ELIMU ELIMU. Binafsi nimeona mambo yafuatayo kuelekea kumjua Mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mitano ijayo. 1. Watanzania hasa vyama vya upinzani ambao wana hubiri demokrasia mdomoni: ni watu...
  7. Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  8. Jamii ibadilishe mtazamo kuhusu madeni ya hospitali kwa wapendwa waliofariki

    Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi hulalamika wakisema kwamba mtu anapofariki, hana tena jukumu la deni, na kwa hiyo familia inapaswa...
  9. Maneno saba yatakayobadili mtazamo wako 2025

  10. Kuwa na mtu halisi kando yako ni kitu ambacho hakiwezi kununuliwa

    Kuwa na mtu halisi kando yako ni kitu ambacho hakiwezi kununuliwa
  11. Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
  12. Mtazamo wangu: Sikukuu ya Krismass ni sikukuu ya kawaida ya kijadi ya wazungu kama zilivyo sikukuu zetu za mavuno vijijini

    Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini walivutwa. Mimi ni mkristo, ila siichukulii siriasi licha ya huhusiswa na Yesu. Naichukulia kama Zile...
  13. Kwa mtazamo wa Polybius huenda tatizo kubwa la Afrika ni kujaribu kurukia Demokrasia, kukimbia kabla ya kutambaa

    Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika nchi yake ya Ugiriki na Utawala wa Roma akaja na nadharia maarufu ya "anacyclosis". Katika nadharia ya...
  14. Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar. Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda...
  15. K

    Hii imekaaje ni mtazamo au?

    Unakuta MTU Fulani Mashuhuri amefariki watu wanahangaika kupost Huko WhatsApp as if marehemu anaona. Taarifa ni Worldwide recognized na wewe una post eti RIP kwani mbona ndugu zenu wakifa hampost kama wakifa watu popular? Mtazamo tu
  16. Daima iangalie ndoa katika mtazamo wa kibiashara

    Unajua kwanini wazee wetu waliishi umri mrefu na wa furaha? Ni kwa sababu mtazamo wao kimaisha ulikua tofauti na sisi. Waliishi maisha simple tu. Mfano, pale kijana anapofikia umri wa mtu mzima, anapewa mke na ardhi ya kulima ili aweze kulisha familia yake. Mke nae aji mikono mitupu, ndugu...
  17. Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

    Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
  18. Upi mtazamo wako kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidini jukwaani

    Nikiri sina miaka mingi sana humu jukwaani ila nilichogundua ni kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidin kwa kukejeli imani zingine kwa namna moja au nyingine binafsi ni muumin mzuri wa dini yangu japo nina cycle ya watu wengi ambao si wa imani yangu naishi nao vzr na tuna bond nzuri sana...
  19. Ujue Mtazamo wa maombi kwa mkristo ambao utakufanya uwe mchapakazi na mtu wa vitendo vingi

    Isaya 65:24 Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu ameshakujibu tayari. Kwa hiyo, mfano ukitaka nyumba, badala ya kukesha na kufunga anza kuhulizia bei ya...
  20. Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

    Habari za muda huu waungwana. Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana. Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…