NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam.
Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
Tunapenda kuutarifu umma kuwa Klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Ndugu Francois Regis, ambaye alikuwa ni Mtendaji Mkuu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Tunamshukuru Mr. Regis kwa kipindi alichohudumu katika Klabu yetu.
Bodi imefanya uteuzi wa Bi. Zubeda...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu.
We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia...
Bodi ya Wakurugenzi ya Soko la Hisa la Dar es Salaam limepitisha uteuzi wa Peter Situmbeko Nalitolela kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam.
Uteuzi wa Bw. Peter Situmbeko Nalitolela kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam PLC
Hii ni kuwajulisha umma...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB).
Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania.
Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo.
Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo Februari 2022.
Kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa Mmiliki mwenza mpya wa Mashetani hao Wekundu, Sir...
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amekutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, Jamal al-Moosawi na ujumbe wake Ikulu Zanzibar leo tarehe 10 Oktoba 2023.
Rais Mwinyi amemkaribisha Jamal al-Moosawi Zanzibar katika kile kilichotajwa kuwa ni fursa za kuendeleza ushirikiano katika...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania Mhandisi Mohamed Besta amesema TANROADS imepita katika vipindi tofauti lakini sasa ipo katika kipindi ambacho inabidi iwe na ubunifu wa kutumia mbinu mbalimbali na kutafuta namna bora zaidi ya kujenga barabara, na moja ya hatua ambazo zimechukuliwa...
Huyu ndio CEO wa Google na alphabet Inc. Ni mtu mwenye asili ya kihindi na marekani, alizaliwa June, 10, 1972 huko Tamir Nadu India, alipata shahada yake ya Kwanza Katika chuo cha Stanford university na baadae akaongeza elimu yake katika master ya maswala ya biashara chuo cha pessylvania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.