Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania Mhandisi Mohamed Besta amesema TANROADS imepita katika vipindi tofauti lakini sasa ipo katika kipindi ambacho inabidi iwe na ubunifu wa kutumia mbinu mbalimbali na kutafuta namna bora zaidi ya kujenga barabara, na moja ya hatua ambazo zimechukuliwa...
RAIS SAMIA ANA MAMLAKA YA KUMTEUA MTENDAJI MKUU WA TANROADS.
Ndugu Mpinzire katika uzi wake hapa jamiiforums amejenga hoja nzito kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hana mamlaka ya kumteua Mtendaji Mkuu wa Tanroads na uzi huu una kichwa cha habari kifuatacho: "Executive Agencies Act No...
Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)
Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.