Kama CHADEMA mtakataa kuwa tawi la CCM basi DP (Chama Cha Demokrasia) kitawafaa sana au njooni CCM,
Mbowe aendelee tu na SACCOS yake.
Haya ndio majibizano kati ya Mwanachadema na MwanaCCM wakiwa njiani wakitembea kwa Miguu.
Asanteni.
Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
Asubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.
Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua...
Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
1. Dr. Omary Ali Juma
Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia.
2. Benjamin Mkapa
Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi...
Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki?
Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi?
Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad.
Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika.
Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali.
Kadhalika Mwinyi...
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!
Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.