mtindo wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtindo wa maisha wa kupata kipato kwa kuomba pesa matajiri Tanzania unafanyika kistaarabu na staha sana.

    Hii video ya machawa waomba pesa kwa matajiri huko Nigeria ni vurugu tupu, haina ustaarabu kabisa na inatweza utu wa waomba pesa, niwasifu machawa waomba pesa wa Tanzania na matajiri wao kwa kulifanya jambo hili kuwa la mtindo wa heshima na staha kidogo. Africa Inasikitisha sana.
  2. JamiiForums Tanzania Mjadala: Ukibaraka wa Kweli nchi hii upo wapi? Kati ya mtindo wa Maisha ya Mwanasiasa na Mikataba ya hovyo ya Taifa

    Wana JamiiForums, Kuna wimbi la nyuzi za kijinga na za kipuuzi zinazoanzishwa wakati huu nchini, zikiongozwa na hofu kubwa ya maandamano na mabadiliko ya kisiasa. Katika nyuzi hizo, wapo wanaoibua hoja nyepesi kujaribu kumchafua Tundu Lissu kwa kumwita "kibaraka" wa nchi za Magharibi. Wanasema...
  3. JamiiForums Tanzania Mtindo wa maisha, na makosa madogo madogo tunayofanya

    Habari jamiiforum. Hii ni Kwa watu wazima 40+ Mambo meengi tunafanya ila kuna makosa yanajitokeza bila kujua,tunajiaibisha bila kujua. Mbaya zaidi tunaona ni kawaida. Na ni ngumu mtu kukwambia ukweli 1.Vitu tunavyopost kwenye social network. Kuna watu wanaweka status huko WhatsApp...
  4. I

    JamiiForums Tanzania MacBook Air au MacBook Pro? Ipi Inafaa kwa Kazi Zako Mwongozo wa Kitaalam Kabisa wa Kuchagua Kulingana na Kazi, Bajeti na Mtindo wa Maisha

    Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza swali moja kubwa: "Ninunue MacBook Air au MacBook Pro?" Katika makala hii, tutakuongoza kwa lugha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  6. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mtindo wa maisha wa vijana;Je, vijana wa Leo wanaishi vipi tofauti na vijana wa miaka 20-30 iliyopita?

    Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia; Lifestyle ya ''hustle culture '' - Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wahenga: Tukumbushane mtindo wa maisha ya zamani na zana zilizokuwa zinatumika

    habari. Jukwaa hili ni kwaajili ya kukumbushana maisha ya zamani, zana zilizotumika zamani michezo na masomo ya zamani na mengineyo yote ili vizazi vijavyo viweze kujifunza. Karibuni nyote.
  8. JamiiForums Tanzania Tofati ya Tanzania na Kenya katika Elimu, Mtindo wa Maisha, Siasa na Uwezo wa Kufikiri

    Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na fikra huru. Hii inawawezesha Wakenya kufikiri kwa kina na kuchukua hatua zinazoendana na maendeleo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…