Kuna daraja lenye urefu wa kama meta 50 hivi ambalo limejengwa ndani yamaji (yaani wamemimina maji yapite juu). Huo mto Mara ni mkubwa sana ambapo ndio watalii hufurika kuona Nyumbu wakivuka (crossing). Changamoto ya daraja ni kuwa , maji yakiongezeka kidogo, daraja huwa halionekani na hivyo...
Mtaalamu Mmoja wa kutoka University of Dar es Salaam anaongea hapa kwenye kongamano la wiki ya Udhibiti na tathmini. Moja kati ya jambo kubwa analizungumza ni maadili. Ambapo kwenye maadili ni kuripoti hali jinsi ilivyo na sio kuandika ripoti kwa kumpaka mafuta aliyekupa hela ya kufanya study...
Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"
Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji...
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
Baada ya kuwepo kwa tetesi juu ya uwepo wa kemikali za sumu kwenye maji ya Mto Mara ambapo imesababisha samaki kufa na maji kuwa meusi, Mgodi wa Dhahabu wa North Mara umekanusha kuhusika katika uchafuzi wa maji ya mto huo.
Hili hapa tamko kamili...
****
Mgodi hauhusiki na uchafuzi wa maji ya...
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.
Sasa hivi tuko kwenye uozo:
Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.
Tuelewane:
"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kinachoendelea katika mto huo.
Awali ilidaiwa kuwa kuna kimikali zenye sumu katika Mto Mara ambazo nyingi...
Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya.
Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.
Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi...
Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Atakuwa angalipo kwenye hiyo department kwenye ambayo sasa ni shule ya Uhandisi Jalalani...
Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana.
Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi.
Baadaye habari hiyo ikasambaa na kuwa kubwa mwisho Serikali ikiingilia kati na kufanya uchunguzi...
Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia?
Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai ngorongoro wamevamia mbuga,
sasa ni zamu ya wanaoishi kandokando ya mito, na pengine hatmaye ni tz nzima...
Sakata la maji ya Mto Mara kubadilika rangi huku Samaki wakifa ikielezwa kuwa kuna kemikali za sumu limechukua sura mpya baada ya malaka husika kutoa kuhusu kinachoendelea.
Maji hayo yamebadilika rangi na kuwa meusi huku wakazi wanaoishi katika vijiji vilivyopo kandokando ya Mto Mara wakiwa...
Tuweke mzigo mezani
Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma:
BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA
Jitihada zimefanyika ili kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.