mto msimbazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    Atakaye ahidi kujenga bwawa kubwa la umeme mto Msimbazi ili kumaliza tatizo la umeme Dar es Salaam nitampa kura zangu zote

    Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
  2. ras jeff kapita

    Mradi wa bonde la mto Msimbazi unaanza llini?

    Wasalaam Tuliambiwa na waziri husika mradi wa Bonde la Mto msimbazi unaanza January 2025 Kwani tayari walikuwa wamesign mkataba na world bank. Lkn mpaka leo kimya Labda tuwaulize wahusika TAMISEMI mradi unaanza lini?
  3. Waufukweni

    DOKEZO Bonde la Mto Msimbazi - Dar limeanza kuwa dampo, siyo jambo zuri kwa Afya ya Wakazi wa Vingunguti

    Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo hili, hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo. Kingo za mto huo zimegeuka kuwa...
  4. Mkalukungone mwamba

    Mwili wa mtu mmoja waokotwa mto msimbazi

    Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika Daraja la Mto Msimbazi mpakani mwa Msimbazi Centre na Kigogo. Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika na tayari Polisi wameuchukua mwili huo ambao ulikuwa umeanza kuharibika kwa ajili ya uchunguzi.
  5. A

    KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  6. passion_amo1

    Uchimbaji Wa mchanga ndani ya mto Msimbazi Ulongoni B

    Wakuu Habari za uzima? poleni na harakati za kuendelea kulijenga Taifa letu. Kuna jambo nahitaji kuliandika hapa ili wenye mamlaka watusaidie kutupa ufafanuzi. Kwa muda sasa wakazi wa Ulongoni B Karibu na darajani mtakubaliana na mimi kumekuwa na gari aina ya kijiko kikichimba mchanga ndani ya...
  7. Roving Journalist

    Serikali yasema Wananchi 2,102 wanaanza kulipwa fidia ya kuhamishwa Bonde la Mto Msimbazi

    Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano kati ya Benki ya Dunia na TARURA, Eng. Humphrey Kanyenye amezungumzia kinachoendelea kuhusu mchakato wa mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi Jijini Dar es Salaam. Anasema “Tulianza zoezi la maandalizi ya Mradi huo muda kidogo na ili mchakato ukamilike...
  8. ras jeff kapita

    TAMISEMI mbona mnachelewa kufidia watu wa bonde la mto Msimbazi?

    Kwenu tamisemi. Serekali imeshaweka nia na kutenga fungu mahususi kwa ajili ya fidia ya wakaazi wa bonde la mto msimbazi. Ni wazi kwamba wakaazi wengi wasiokuwa na hati (squatters) wamefidiwa flat rate shs mil 4. Pamoja na fidia ya majengo. Pale kwenye bonde kuna hati nane(8)ambazo serekali...
  9. Dr Shekilango

    Serikali ibadili mchoro wa Daraja la Jangwani mto msimbazi

    Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi; Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
  10. Lord denning

    Ni vizuri Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi na Daraja la Jangwani tungewapa Waholanzi Watujengee

    Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani. Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe. Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga...
  11. Sildenafil Citrate

    Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
Back
Top Bottom