mto nile

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni kweli Iddi Amin alikusanya walemavu na kwenda kuwamwaga Mto Nile?

    Kwa yanayoendelea Congo nimebaini kuwa vita zina propaganda nyingi sana. Kwenye historia ya Idd Amina tumeambiwa kwamba Iddi Amin akiwa Rais aliwahi kufokewa na mlemavu kwamba ameshindwa kuiongoza Uganda. Siku chache zijazo Dikteta alikusanya walemavu wote mijini wakaenda kumwagwa wote mto Nile...
  2. Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

    Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile. Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano...
  3. I

    Egypt imepinga vikali makubaliano ya usimamizi wa Mto Nile

    Hivi karibuni nchi 6 kati ya 11 zilizopo katika Bonde la Mto Nile ziliidhinisha itifaki ya usimamizi wa Mto Nile. Nchi hizo ni Tanzania, Burundi, Rwanda Uganda, Sudan ya Kusini na Ethiopia. Waziri wa Maji wa Egypt amesema nchi yake haitakubali kupoteza hata mita ya ujazo ya maji ya Mto Nile...
  4. Mto nile umepita Tanzania?

    Je, ni kweli mto Nile umepita Tanzania. Na kama ni kweli umepita mkoa upi Tanzania kama hamtajali mnaweza kunitajia chanzo cha mto nile ni wapi na nchi ambazo mto Nile umepita
  5. Miaka kumi na saba (17) ya bonde la mto Nile - Nairobi, Kenya

    MIAKA KUMI NA SABA (17) YA BONDE LA MTO NILE - NAIROBI, KENYA. Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) ambaye ni Naibu Waziri wa Maji mnamo tarehe 22 Februari 2023 ameiwakilisha Tanzania katika sherehe za miaka 17 ya Bonde la mto Nile Jijini Nairobi Kenya mkutano uliojumuisha nchi Kumi na Moja...
  6. Rasmi Ethiopia waanza kufua umeme kutoka Mto Nile, Nchi jirani zakasirika

    Ethiopia, leo Jumapili inatarajiwa kufua umeme kutoka kwenye Bwawa la The Grand Ethiopian Renaissance linalokabiliwa na utata lililoko katika Mto Nile. Bwawa hilo limekuwa chanzo kikuu cha mzozo wa kikanda tangu kuanza kwa ujenzi wake muongo mmoja uliopita. Mataifa jirani ya Ethiopia, Misri na...
  7. Maajabu 7 ya Afrika kama yalivyopigiwa kura mwaka 2013

    Maajabu 7 ya Afrika kwenye mpangilio wake kama jinsi yalivyopigiwa kura mwaka 2013. 1. Bahari nyekundu -Misri, Eritrea, na Sudan. 2. Mlima Kilimanjaro -Tanzania. 3. Jangwa la sahara- Algeria, Chad, Misri, Libya , Mali, Mauritania, Morocco, Niger, Sudan, Tunisia. 4. Kuhama hama kwa wanyama...
  8. Ni nani aliyewaambia na kuwadanganya Wamisri kuwa wana umiliki wa 87% ya maji yote ya Mto Nile?

    Nilipoona tu tamko la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likisema kuwa haliwezi Kuingilia kati Mgogoro wa Matumizi ya Maji ya Mto Nile kati ya nchi za Misri na Ethiopia kwakuwa inajua kuwa Misri ina uhalali wa 87% ya Maji ya Mto huo nimeshtuka na kuwa na maswali mengi mno. Hivi ni lini...
  9. Tanzania iwe upande gani Kama Ethiopia na Misri zinapigania maji ya mto Nile?

    Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda. Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
  10. Misri, Ethiopia, Sudan zakubaliana matumizi ya Mto Nile

    Misri, Ethiopia na Sudan wamefikia makubaliano ya awali ya kujaza maji na shughuli nyingine kwenye bwawa kubwa linalojengwa Mto Nile. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na nchi tatu, pamoja na Marekani na Benki ya Dunia, imesema kwamba washiriki wanaojadiliana wamekubaliana kujaza bwawa la Grand...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…