Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji.
Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro.
Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio cha Ngerengere, Mhandisi Nangu Makula amesema zoezi hilo litaenda umbali wa mita 900 kutoka Mazimbu...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya Asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo Mwaka 2026 kwa gharama ya Tsh. Bilioni...
Wana jukwaa
Kama kichwa cha mada kinavyojitanabahisha hapo juu, wananchi Dar wanahangaika kupata maji mapaka wanathubutu kuchimba visima vya kienyeji katikati ya vijito vilivyojaa uchafu na vinyesi huku DAWASA hawajali chochote wakati mto Ruvu una maji ya kutosha kusambaza.
Dar inategemewa...
Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo.
Katka picha
Hali ya Maji imeanza Kuongezeka Mto Ruvu hivyo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam yaliyokuwa hayapati Maji sasa yanaanza kupata baada ya Mvua Kunyesha.
Chanzo: Dawasatz
Tafadhali mlio jirani na Mto Ruvu tupeni Ushuhuda wenu isije ikawa Wachina Wawili, Mswahili Tabasamu na Tajiri wa Kujificha wa...
Wakuu,
Nimesoma katika magazeti kadhaa Kwa kipindi Cha hivi karibuni habari kuhusiana na ukame unaotokana na mabadiliko Tabia ya nchi ambayo pamoja na mambo mengine yanasababishwa Kwa kiasi kikubwa sana na shughuli za Binaadamu.
Leo gazeti la JAMVILAHABARI wameandika kuhusu MTO RUVU kukaushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.