Iko hivi, kuna jirani yangu hapa ni mbahili kichizi yaani mpaka zama hizi bado anatumia litivii la chogo (bonge la tv). sasa leo bwana likamgomea kuwaka, baada ya kufikiria akakumbuka kua mimi jirani yake nimesomea umeme mpaka chuo kikuu ikabidi anishirikishe.
Mimi sijawahi kufungua hata remote...