Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart.
Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la...
asimwe
askofu
askofu na mauaji ya albino
elipidius rwegoshora
huduma
kanisa katoliki bukoba
kutoa
mauji ya asimwe
mtotoalbinokagera
padre
padre elipidius rwegoshora
uwajibikaji kanisa katoliki
Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
Kwa uelewa wangu mdogo huyu "msaidizi wa paroko" hajakurupuka kuanzisha hii misheni lazima Kuna soko ambalo amelilenga na hiki kivuli cha usaidizi wa paroko ni moja ya kukamilisha misheni chafu ambazo naamini nyingi amekwishazitekeleza na hii imembumia kwa kuwa watanzania walilisimamia kidete...
Salaam, Shalom!!
Awamu ya Tatu, Ben Mkapa aliwateketeza wachuna ngozi bila huruma yoyote na huo UOVU ulikoma. Albino waliishi Kwa Amani kipindi Cha miaka iliyopita hivi karibuni, imeanza tena.
Kwa sasa ninishuhudia mpishano usio wa kawaida wa Waganga wapiga ramli kwenye ofisi za wanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.