Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Bagara aliyepotea katika mlima wa Kwaraa baada ya kwenda kufanya utalii wa ndani pamoja na masomo Kwa vitendo, Mwanafunzi huyo amepatikana akiwa amedhoofika huku akiwa na majeraha ya kukwaruzwa na miti na miba.
Mtoto Joel amepatikana baada...