mtoto anarithi akili za mama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DAS wilaya ya Mvomero: Hakuna akili za kurithi kwa mtoto

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero, Said Nguya amewasisitiza wazazi kuwa hakuna akili za kurithi kwa mtoto, sababu uwezo wa akili hutokana na lishe bora tangu mama anapopata ujauzito. Nguya ameyasema hayo Jumapili Septemba Mosi, 2024 alipokuwa akizungumza na wazazi, walimu na wanafunzi kwenye...
  2. Baadhi ya wanawake warembo wana upeo mdogo wa kiakili

    Huu ndo ukweli, mtoto anarithi akili za mama, mama akili ovyo kichwani tegemea na uzao wako utakuwa hovyo. Mungu hakupi vyote, huwezi kukuta mwanamke mrembo akawa vizuri kichwani, ana uzuri lakini kasoro yake ni akili. Utakuta wanawake warembo watakuzalia watoto darasani hata umpe mwalimu wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…