mtoto asimwe afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KWELI Fr. Elipidius Rwegoshora, ambaye ni Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Asimwe Novath, ni Padri katika Jimbo la Bukoba

    Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi. Which is which??
  2. Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…