Yaani mambo ya nyuma mwiko ndo kama lile tukio la Madaktari wa Muhimbili, Mgonjwa wa kichwa wakampasua mguu na wa mguu wakampasua kichwa.
Timu imejaa wastaafu telee , badala waimarishe kikosi Chao walete vijana wenye Ari na nguvu mpya wameenda kumtoa kafara Gamond. Mechi ya Tabora kakosekana...