Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku mpaka kunakucha ni kweli mwanangu hakusimamisha😭😭😭😭
Nimejaribu kumpa dawa za kimasai lakini tatizo...