Ukiitazama Azam FC ni timu ambayo uwekezaji wake ni mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati lakini wanachokifanya ni AIBU Tupu!
Nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi yani ningekuwa boss wa Azam sijuwi ningekuwa katika hali gani sasa. Maana kama kuwekeza basi ni uwekezaji...