Naiandika hii ppost kwa sababu nimeona kuna uzi wa "nifenyeje wanangu wawe na akili darasani"
Kwanza kabisa niseme nyumbani kwetu hili lilikuwa ni tatizo kwa watoto wote labda kasoro kwa mdogo wangu tu ambae ni wa mwisho, wawili wa mwanzo walishakataa shule kiasi cha kutishiwa kuletewa polisi...