Hi
Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya kisa wadudu (jini) inasadikika kuwa mtoto akitaka kunyonya hao wadudu wanatokea na kuaza kumnyonga mtoto mpaka ana acha kunyonya
Mzazi ni mpemba na anakiri kuwa mwanae ana mashetani, walipojaribu kumuombea dua hali ikazidi zaidi kwa hiyo waliamua mtoto...