Kila kitu kilienda kama kilivyo kua kimepangwa mpaka pale mama moja lie zalishwa na bwana harusi alivo leta mtoto wa bwana harusi kama zawadi ya harusi kwa bibi na buana harusi.
Wanawake wengi kujilegeza kwa wanaume wa wazalishe ili wa olewe, ila wengi kugonga mwamba na kubaki kama singo maza...
Anaesema kuwa mtoto wa nje ya ndoa ana hitilafu kijamii na kwa Mungu afikirie upya. Mwenye uwezo wa kuumba ni Mungu tu peke yake.
Kama umebahatika kupata mtoto wa nje ya ndoa mkumbatie sawa na wanavyokumbatiwa watoto wengine wote.
Msimfiche, mtangaze, mlete nyumbani kwako umlee bila ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.