Anaesema kuwa mtoto wa nje ya ndoa ana hitilafu kijamii na kwa Mungu afikirie upya. Mwenye uwezo wa kuumba ni Mungu tu peke yake.
Kama umebahatika kupata mtoto wa nje ya ndoa mkumbatie sawa na wanavyokumbatiwa watoto wengine wote.
Msimfiche, mtangaze, mlete nyumbani kwako umlee bila ya...