Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni...
Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani
Kelele zilianza Abdul alipokwenda Uganda Uganda na kupokelewa kama kiongozi wa kitaifa. Watu walihoji.
Kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.