Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10.
Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...