mtu fulani

  1. Eli Cohen

    Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  2. K

    Je tunatakiwa kufuata sheria au maamuzi ya mtu fulani?

    Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.
  3. ndege JOHN

    Lazima una mtu fulani ambaye huwa unampigia simu bila sababu ya msingi

    Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima...
  4. Ibrahimeliza

    Kila mtu anatamani kuishi maisha ambayo sio ya uhalisia wake (Kuiga)

    Jambo linalo sikitisha ni kwamba kila mtu anatamani kuishi maisha ambayo sio ya uhalisia wake, nataka kuwa kama fulani tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunajua ni utoto tu, hapana mpaka sasa wakubwa kila mtu anasema nataka kuwa kama mtu fulani, ukiwa kama fulani utapendeza sana, nataka niishi kama...
  5. khomgodlove

    Elizabeth Báthory: Muuaji wa kike aliyeua watu wengi kuliko mtu yeyote

    Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
  6. DocJayGroup

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

    Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa. Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo...
  7. Background Check

    Hellow. Wana jf, naitwa mjuzi wa juzi ni member mpya wa jamii forum na omba usaidizi wa kutambua zaidi kuhusu jamii forum

    Naitwa Mjuzi wa Juzi, ni mwana jf mpya kabisa kwa miaka kadhaa nimwkuwa msomaji tu tu lakini leo nimeamua kujiunga. Asanteni sana
Back
Top Bottom