mtu kusingiziwa mwizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kuitwa mwizi na wananchi kuanza kushusha kipigo bila kuhoji ni kukosa ustaarabu jamii za Tanzania Bara, Wengi wamesingiziwa na kuuawa / kupata vilema

    Mwizi, Mwizi, Mwizi... Kusikia hii Yowe kwa watanzania wengi ni kibali cha kuanza kumfukuzia mlengwa na kujichukulia sheria kwa kumshushia kumpiga, kumponda mawe na hata kumchoma bila kumpa nafasi ya kujieleza, Yani ile unaanza kujieleza tayari ushapigwa ngumi ya taya, umerukiwa kichwa, n.k...
Back
Top Bottom