Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu.
Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha.
Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora
Wanachuo wa kike ni takataka
Aslaam,
Kuna jamaa hapa amepigwa tukio na mtu wake wakaribu.
Alimkopesha ela ila alimtumia kupitia mtandao wa simu.
Jamaa baada ya muda saana amemgeuka, amemwambia hajawahi kukopa ela kutoka kwake.
Na sms ya Muamala anayo, alijaribu kumfoadia ile sms ya ela ambayo alimtumia
Jamaa akajibu...
Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu...
ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU ILIYOTUMIKA AU KWA MTU
1. Angalia IMEI namba kwa Android na IMEI/MEID namba kwa iPhones, na zitumie kuhakikisha simu sio ya wizi
2. Kagua iwapo simu iliwahi kufanyiwa marekebisho na hakikisha vifaa vyote vipo sawa na vinafanya kazi
3. Kagua simu ina muda gani wa...
Habari wakuu,
Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi.
Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
Maisha yetu wakati mwingine hukabiliwa na mikwamo mingi sana inayotokana na kuwaachia watu wengine kuendesha maisha yetu.
Mwaka 2024 uwe ni mwaka wa kukataa watu wengine kuendesha maisha yetu.
Kama unataka kumuomba Mungu juu ya Maisha yako, omba mwenyewe Achana na kubebeshwa vitu na...
Huu ulimwengu watu wanakuwa cloned. Unaweza kuta Makamu alishafariki huko alikokuwa. Wametumia huu mwezi mzima ku mclone na kum coach mtu mwingine kumrudisha TZ.
Hii Dunia hii.... Kwa sasa kila kitu si kama kinavyoonekana. Macho yamekuwa yakidanganywa sana.
Katika pita pita zangu huko Kwenye mitandao nikakutana na Hii prank ambayo ikaniacha mdomo wazi..
Kuona Mwanaume mwenzangu akikubali Mpenzi wake au Mchumba kama wanavyoitana apokee upako wa Busu Kwa malipo ya Tsh 500,000/=
Ukiangalia mpkaa mwisho utamkuta ndugu mtangazaji akimshawishi Kumla...
Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live...
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.
Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja.
𝗟𝗶𝗻𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼?
Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku.
Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu.
Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani?
Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya...
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia!
Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine!
Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.