Wakuu natumaini mu wazima wa afya,....
Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale inapobidi,...
Kwangu mimi , nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikiwaona WATU WAZIMA wakiongea PEKE YAO njiani, basi...
I will be short
Humanity is hard work
We do a lot of mistakes , bila kuwa na mganga wako wa kureverse some things . Stress na mistakes zitakuua . It’s no joke
Mimi ni pure Christian . Ila watu wana ni push to the Limit . Unakuwa mwema watu wanataka vita .
,
Kazini vita , mtaani vita ...
Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba.
Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea!
Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance Iko vizuri!
Story Iko hivi! Tulitishiana na mdada baada ya kuona mienendo yake sio mizuri! Yeye...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Kutokana na mabadiliko na maendeleo ya sayansi na teknolojia tubadilishe pia sera zetu kwa vitu vya maendeleo
Miaka ya leo miaka kumi na nane ni mzee, mtu ana kua kijana toka miaka 16 wenzetu china miaka kumi na sita anatengeneza saa, sahani za udongo...
Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo.
Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie...
Wakuu habari za Muda huu?
Naomba mwongozo juu ya yupi anayepaswa kumsalimia mwenzake ikiwa mmoja ana umri mkubwa kumliko bosi wake,mfano Mimi niwe na umri wa miaka 50 harafu bosi wangu ninaye mzidi umri awe na chini ya umri wangu,Je yupi anapaswa kutoa salamu ya shikamoo Kwa mwenzake...
Good morning every one!
Niende kwenye mada moja kwa moja. Dear Wana JF napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa.
My personal details.
Jina : Langliguara
Jinsia : male
Kazi : Mfanyabiashara
Elimu : MA
Dini : Christian
Umri : 38
Ninapoishi : Tanzania
Kabila...
Mi mamaa mtu mzima anahitaji kazi
Kulea wazee. Kuangalia mzazi aliejifungua n.k
Yupo Dar. Kazi kazi za nyumbani. Mshahara uanzie 150,000
Ni mchapakazi. Hana mume wala watoto, sio msumbufu.
Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka.
Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake.
Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani.
Nini kinasababisha Jamani?
Halafu unakuta ana watoto wakubwa tu lakini mambo anayofanya yanawafanya watoto...
Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi.
Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba!
Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza...
Habari za wakati huu wakubwa.
Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah.
Jinsi nilivyokutana naye
Mimi ni Fundi Rangi, gypsum board na skiming. Kama mnavyojua hizi kazi zetu siyo za kila...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.