Hivi ulishawahi kuondokewa?
Ulipitia changamoto gani baada ya kuondokewa na mtu wako wa karibu? Either kifo au kutengana what you feel?
Hali yako (personal) katika uchumi, mawazo, jamii ilikuwa ipo katika namna gani?
Je, unaendelea kumkumbuka? Wema na ubaya aliyokutendea?