Nchi yenye watu takribani milioni 70. inategemea maamuzi ya mtu mmoja. Ambaye kakalia kiti Cha utawala. pamoja na kuwa na jopo la washauri lililosheheni wasomi wenye shahada kubwa. Lakini Saini yake kwenye makaratasi ya mikataba ya wawekezaji kutoka nchi kubwa zenye nguvu Duniani ndio inayoweza...